0
AFYA: Mabadiliko Kwenye Changamoto Inawezekana
AFYA: Mabadiliko Kwenye Changamoto Inawezekana

 📍Zanzibar.Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Mh. Hemed Seleiman amefungua Kongamano la tano (5) la watoa huduma ya dawa za dharura mapema leo katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Airport liyopo Kiembesamaki Zan… Read more »

Read more »
08Nov2023

0
Tafiti za Nje Hazina Uwiano wa Kimazingira Kutatua Changamoto.
Tafiti za Nje Hazina Uwiano wa Kimazingira Kutatua Changamoto.

📍 Zanzibar.Kongamano la kimataifa la usimamizi wa biashara na maendeleo ya uchumi, limefunguliwa mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais Mh. Hemed Suleiman, alimuwakilisha Rais wa Zanzibar Mh, Dr. Hussein Ali Mwinyi.PICHANI: Makamo wa Pili wa Rais … Read more »

Read more »
06Nov2023

0
Wadau wa Sheria Watakiwa Kutumia Njia Rahisi kwa Wananchi.
Wadau wa Sheria Watakiwa Kutumia Njia Rahisi kwa Wananchi.

Zanzibar                                                              02 Novemba, 2023 Mdahalo wa wadau sheria na utawala bora Zanzibar wamekutana katika kikao kazi cha kujadili na kupeana mbinu zitakazoweza kuwawezesha kutatua matatizo mbalimbali ya… Read more »

Read more »
02Nov2023

0
Wazee, Wazazi na Wananchi Wasiojiweza Kuendelea Kuneemeka na Mpango wa Malipo.
Wazee, Wazazi na Wananchi Wasiojiweza Kuendelea Kuneemeka na Mpango wa Malipo.

   📍 ZANZIBAR Sera iliyoanzishwa na inayolenga kuwawezesha wananchi kiuchumi iliyoanzishwa mwaka 2014, inahakisi katika kuwapa uwezo wananchi walio katika hali ya chini na kuweza kukuza vipato na uwezo wa kimaisha. Akifungua mkutano huo wa mwaka wa … Read more »

Read more »
11Sep2023

0
Taasisi ya Sayansi ya Teknolojia Afrika Yapata Mkuu Mpya.
Taasisi ya Sayansi ya Teknolojia Afrika Yapata Mkuu Mpya.

📍 ARUSHA.Taasisi ya Sayansi ya Teknolojia Afrika ya Nelson Mandela imempokea mkuu mpya wa Taasisi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Taasisi hiyo Mh. Mohamed Gharib Bilal Makamu wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumaliza muda wake.Kati… Read more »

Read more »
30Aug2023

0
Watafiti Watakiwa Kuangalia Jinsi ya Kuzalishaji Maji ya Bahari.
Watafiti Watakiwa Kuangalia Jinsi ya Kuzalishaji Maji ya Bahari.

Zanzibar. Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara amefunga Kongamano la Maji lililofanyika mjini Zanzibar kwa siku mbili, kongamano hilo liliudhuliwa na takribani watu 250 kutoka ndani na nje ya nchi, ambapo katika ufunguz… Read more »

Read more »
17Aug2023

0
Zengwe la Kutokomeza Maralia Mkoa wa Mjini Magharibi Laandaliwa.
Zengwe la Kutokomeza Maralia Mkoa wa Mjini Magharibi Laandaliwa.

Zanzibar.                                                                    Mkutano wa wadau wa sekta ya Afya wenye lengo la kutokomeza ugonjwa wa Maralia katika mkoa wa mjini Magharibi Zanzibar umefunguliwa na mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi ukiwa … Read more »

Read more »
15Aug2023

0
Mh. Jenista Mhagama Atoa Kongore Nane Nane Zanzibar.
Mh. Jenista Mhagama Atoa Kongore Nane Nane Zanzibar.

📍ZANZIBAR.Maonyesho ya sikukuu ya Wakulima nane nane Zanzibar yamehitimishwa ambapo Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji Zanzibar Mh. Shamata Shaame Khamis, amesema kuwa maonyesho ya mwaka huu yamekuwa na hamasa kubwa. Waziri wa nchi ofisi, ofisi ya Wazi… Read more »

Read more »
11Aug2023

0
Spika wa Balaza la Wawakilishi Ashangazwa na Mti wa Mwembe.
Spika wa Balaza la Wawakilishi Ashangazwa na Mti wa Mwembe.

📍ZANZIBAR. Spika wa Baraza la Wawakilishi (BLW) Zanzibar Mh. Zubeir Ali Maulid ametembelea maonyesho ya wakulima nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Dole Kizimbani mjini Zanzibar. Akizungumza mara baada ya kutembelea mabanda kadhaa na kujionea… Read more »

Read more »
02Aug2023
 
Page 1 of 82123456789...82Next »Last
 
Top