Maelezo mafupi kuhusu TODAYS NEWS, Blog hii ni mahususi kukupa HABARI zenye uhakika na zinaeleza tukio kiundani zikiambatana na picha kuonyesha tukio husika, pia kukupa mapitio ya MAGAZETI ya kila siku kadiri yanavyowahi kufika mbele ya camera yetu.
TODAYS NEWS ikitambua umuhimu wa AFYA yako tunakupa nafasi kujifunza na kupata dodoso kupitia ukurasa huo wa AFYA, Ikiwa sehemu kubwa ya watu kwa sasa wanapenda kugusa ili kupata uharisia wa kitu, hivyo basi tunakuletea ukurasa wa PICHA hapa utapata elimu/kujifunza kupitia jicho la kamera yetu ambalo linaona na kuchambua (image) kile ambacho jicho lako linashindwa kunyambua.
T NEWS hapa ndipo pale jicho letu linapoangazia wakati wote, tegemea kuangalia Documentary, habari zilizorekodiwa, kahojiano, video za matukio, usisahau TASWIRA YA JAMII, lakini pia kupitia ukurasa huu unaalikwa kuwa nasi kwa kwa mawasiliano yako tutapata wasaa na kujuza jamii. Tunajivunia nafasi tuliyo nayo kwa wadau wanaotufuatilia kila uchao, hivyo basi tunakujali na endelea kuwa nasi, 'pale utakapotuamini ndipo pale tutakuwepo kwa ajili yako'.