RAIS wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mkakati wa kidigitali wa serikali na mfumo wa bajeti na matumizi serikalini (kushoto kwa Rais) Waziri wa nchi ofisi ya Rais Katiba, Sheria, utumishi na utawala bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na mkurugenzi Mtendaji wa e- Government Zanzibar (e-GAZ ) ndg.Said Seif Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kushoto akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa mkakati wa kidigitali wa serikali na mfumo wa bajeti na matumizi Serikalini.
Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja Ndege iliyopo Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
Post a Comment