![]() |
PHOTO: Aliekuwa diwani wa Chadema
Godfrey Luena enzi wa Uhai wake.
|
MOROGORO.
Diwani
wa Kata ya Namawala wilaya ya Kilombero, Godfrey Luena (CHADEMA) ameuawa
nyumbani kwake kwa kukatwakatwa kwa mapanga na watu wanaosemekana kutojulikana.
Taarifa zilizothibitishwa kutoka kwa mbunge wa jimbo la Mrimba kupitia chama cha Demokrasia ma Maendeleo Mhe.Suzan Kiwanga zinaeleza kuwa diwani Namwawala ameuwawa kwa kukatwakatwa na watu wasiojulikana usiku huu mara baada ya kuvamiwa akiwa nyumbani kwake.
Taarifa za awali zinasema kuwa umeme ulikatika katika nyumba yake, hivyo Luena alitoka nje kuangalia kama kuna tatizo maana nyumba za jirani zilikuwa na umeme, ndipo alipozunguka nyuma ya nyumba yake kukagua umeme akakutana na kikosi cha watu wenye mapanga wakamkatakata hadi alipokata roho.

>>Taarifa kwa undani jiunge nasi muda ujao hapa
hapa….

Post a Comment