0
ARUSHA.
Waziri wa Aridhi Mh. Willium Lukuvi amesema kuwa mwananchi yeyote hataweza kunyang’anywa eneo lake au makazi kutokana na mpango uliopo wa kuendeleza makazi nchini.

Akiongea na TODAYS NEWS jijini Arusha wakati kamati ya Bunge ya aridhi inayopitia ilipotembelea waziri Lukuvi pia amewaomba wananchi wanaotaka kuendeleza maeneo yao kwa ujenzi kufuata sheria zilizopo na zinazosimamiwa na halmashauri zote nchini ili kuepuka matatizo yoyote yanayoweza kuleta mgogoro katika eneo hilo.

Taarifa kamili kuhusu habari hii nimekuwekea hapa chini na katika habari kwa njia ya video…

                                          SOMA ZAIDI/Read more….

Post a Comment

 
Top