0
DAR ES SALAAM
BODI ya ununuzi na ugavi nchini imetoa matokeo ya mtihani kwa mwaka 2017 ambapo katika matokeo hayo ufaulu umeonyesha kushuka kwa watahiniwa kwa somo la sayansi hasa upande wa hisabati.

PHOTO: Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi.
HABARI KWA UNDANI.
Katika mkutano wake na waandishi wa  habari jijini Dar Es Salaam, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi amesema matokeo hayo ni kutokana na mitihani miwili inayofanyika mara mbili kwa mwaka kwa mwezi Tano na Novemba kwa mwaka na kutoa matokeo hayo.

Katika mitihani hiyo jumla ya watahiniwa 1519 walichaguliwa kufanya mitihani hiyo TODAYS NEWS tumekuwekea taarifa ifuatayo kwa undani kutoka kwa Mkurugenzi kupitia kwenye ukurasa wetu habari za TNEWS ONLINE.




Post a Comment

 
Top