Mara
kadhaa wananchi wamekuwa na mawazo ya kuacha kazi zinazoweza kuwapa maendeleo
na kuwapandisha kwenye uchumi wanaoutaka kutokana na malengo waliyonayo.
Kutokana
na hilo baadhi ya vijana wamekuwa na hamu ya kupanda kwenye hatua yao ya maisha
pasi na nafasi ya kuweza kuwapandisha pale wanapotaka, hivyo kuacha fulsa na
kukimbilia mjini.
Huko
mkoani Arusha vijana wameamua kufanya mabadiriko na TNEWS tumekuwekea kile
ambacho kinaweza kukubalisha fikra na kuamua kusimama mwenyewe au kama kikundi.
Habari
kamili hii hapa kwenye ukurasa wetu wa VIDEO HABARI kulia>>>>>

Post a Comment