HABARI MPYA: Ng'ombe 30 na kondoo 7 wamekufa baada ya kupigwa na radi katika Kijiji cha Muhweza wilayani Ngara, habari zaidi utaipata hapa hapa.
 |
| PHOTO 👆 👇 : Wananchi wakiangalia na wengine wakichinja ili kupata kitoweo. |
Mtendaji wa kijiji Alex Joseph athibitisha.
Source: #Mwananchileo
Post a Comment