DAR ES SALAAM.
Muda mfupi baada ya Mkurugenzi idara ya habari maelezo Dkt Hassan Abbasi kutoa taarifa kwa Umma juu ya kulifungia kwa kusitisha kuchapisha gazeti la Mwanahalisi kwa muda wa miaka miwili (miezi 24) kutokana na kuandika habari kinyume na maadili, TODAYS NEWS imemtafuta mhariri wa gazeti hilo na kuongea naye juu ya dhahama waliyopata juu ya kufungiwa gazeti hilo litokalo mara moja kwa wiki.
Haya hapa Juu ni mahojiano yaliyofanywa na mwandishi wetu……
Post a Comment