0
DAR ES SALAAM
Habari mbaya kuhusu Saed Kubenea.
Polisi wamemkamata Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea akiwa  hospitali ya Aga Khan jijini Dar Es Salaam alipokuwa amelazwa, Polisi wamesema ni maagizo ya Spika Job Ndugai.

Wanamsafirisha kwenda Dodoma kwa gari la Polisi licha ya madaktari kushauri kuwa asisafirishwe kwa barabara kutokana na hali yake ya kiafya.

Habari kwa undanibwa tukio hili zitakujia hapa ...



Source: Chadema Blood.

Post a Comment

 
Top