DAR ES SALAAM
Shirika la waandishi wa habari marafiki wa wanyamapoli na urithi wa asili
lenye makao makuu yake jijini dar es salaam, linakualika kwenye matembezi
makubwa yenye kuhamasisha kupinga ujangiri, uvuvi haramu, kutunza mazingira na
kutunza urithi wa asili.
Matembezi haya yataanza
majira ya saa 12:30 katika viwanja vya mnazi mmoja kuelekea viwanja vya
karimjee kupitia barabara ya bibi titi, azikiwe, sokoine drive mpaka karimjee.
Mgeni rasmi ni makamu wa
rais mstaafu Dr. Gharib bilal.
***Wananchi wote wa kada mbalimbali mnaalikwa
kuhudhulia tukio hili.
Kwa mawasiliano piga simu: +255 768 847 313 au tuandikie email: envirotage@gmail.com

Post a Comment