Viongozi wa chama caha Demokrasia na maendeleo CHADEMA wameomba wananchi na wapenzi wa chama chao kujitolea kumchangia damu mwanachama mwenzao na Mbunge wa singida mashariki Tundu Antipas Lissu ambaye anapata matibabu humo jijini Nairobi ambapo alipigwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake mapema jana huko mjini Dodoma.
Source: BBC.
Post a Comment