0

Nimefika hospitali ya Nairobi mapema leo na kujulia Mh. Tundu Lissu madaktari wanaendelea kumfanyia matibabu na bado hatujaruhusiwa kumuona.

Kwa niaba ya wana Singida na watanzania wote nimetoa salamu za pole kwa mke wake, na bado nasubiri uwezekano wa kumuona usiku wa leo, endapo MADAKTARI wataruhusu.

Cha MUHIMU sote tuendelee KUMUOMBEA.  
MUNGU  amtendee wema, na kumponya katika majira haya ya kujaribiwa kwake. Katika yote ndani ya yote. IKAWE HERI KWAKE.

PHOTO: Mh. Nyarandu (wa pili kutoka kushoto) akiwa na wabunge wa CDM jijini Nairobi alipofika kumjulia hali Mbunge mwenzake Tundu Lissu. 





Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top