TANGA.
Hapa chini ni picha tatu za nguvu tulizonazo ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alishiriki kupiga ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 katika eneo la Raskazone jijini Tanga leo Agosti 6, 2017
Post a Comment