TANGA.
Rais John Pombe Magufuli akiwa anahutubia hadhara kutoka mkoani Tanga, ameweza kumuita Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ambapo katika hali ambayo haikutegemewa alimsifu mwa uchapaji kazi wake.Lakini baadae kidogo alimuita Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda na kuwataka wapatane, Rais amewasifu wote kuwa ni vijana wachapa kazi na kuwataka wapatane na wachape kazi kwa ushirikiano.
Post a Comment