DAR ES SALAAM.
------------------------------------------------------------------
Rais John Pombe Magufuri leo
amekutana na katibu mkuu wa jumuiya ya madola ikulu jijini Dar Es Salaam ana
kuzungumza mambo kadhaa yakiwemo maendeleo na faida ambazo wanachama wa jumuiya
hiyo wanapaswa kupata.
PHOTO: Kulia Rais Magufuri akiongea jambo na Katibu mkuu wa jumuiya ya Madola Patricia
Scotland Ikulu jijini Dar Es Salaam.
----------------------------------------------------------
**Taarifa kamili juu ya
kilichozungumzwa hii hapa kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam.
Post a Comment