0
ARUSHA.
Katibu mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Juliana Pallangyo amezindua kituo cha pekee hapa nchini kitakachokuwa kikitoa Elimu na utaalam kwa wananchi juu ya Jadilifu kilichopo kwenye Chuo kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha.

The Government of the United Republic of Tanzania is proud to have South Korea as a committed development partner, as our country gear agenda of promoting industrialization ot echo our aspirations embedded in the Tanzania Development Vision 2025.

Hapa chini ni baadhi ya picha za tukio zima kuhusu uzinduzi huo, habari kamili fuatilia katika habari video katika ukurasa wetu.
PHOTO: Katibu mkuu wizara ya Nishati na Madini Injinia Juliana Pallangyo akisalimiana na Sukkyung Shin ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa kituo cha kimataifa na utafiti cha nchini Korea.

PHOTO: Mkuu wa chuo kikuu cha Nelson Mandela Profesa Karoli Njau, akiongea wakati akitoa hotuba na kumkaribisha naibu waziri Injinia Juliana Pallangyo.

PHOTO: Mkurugenzi wa mipango wa iTEC na Chuo cha Taifa cha Seoul Profesa Sung-Hoon Ahn akitoa maelezo kuhusu mipango endelevu kwenye kuimarisha teknolojia kati ya Tanzania na Korea.

PHOTO: Injinia Juliana Pallangyo akitoa salama za serikali wakati wa ufunguzi na uzinduzi wa kituo kabla ya hotuba.

PHOTOInjinia Juliana Pallangyo akisoma hotuba wakati wa ufunguzi wa majadiliano kuhusu sanyansi na teknolojia katika kukuza maendeleo.


PHOTO:

JUU, Injinia Juliana Pallangyo (kulia) na mkurugenzi wizara ya Sayansi –Korea Moongi Choi (kushoto) wakifungua pazia na CHINI: Wakata utepe kuashilia kuzinduliwa kwa kituo cha utaalam na utoaji elimu kwa wananchi.


PHOTO: Injinia Juliana Pallangyo (wa ) akisikiliza maelezo kutoka kwa Moongi Choi ambaye ni Mkurugenzi wizara ya sayansi na teknolojia nchini Korea kuhusu vifaa vinavyoweza kuhifadhi sindano kwa muda mrefu huku kikiwa na ubaridi unaozalishwa na kifaa chenyewe.
PHOTO: Muuguzi wa shirika linalohudumia watoto Esta akifurahia (wa nne kulia) kupokea moja ya jokofu ndogo ya kuhifadhia sindano na vifaa vingine kutoka kwa Injinia Juliana Pallangyo ambapo imetolewa kwa vituo viwili vya Afya mkoani Arusha.

PHOTO: Mkurugenzi wa mipango wa iTEC na Chuo cha Taifa cha Seoul Profesa Sung-Hoon Ahn akielezea namna machine (kushoto) itakavyoweza kufanya kazi ya kuunganisha vifaa vitakavyotumika chuoni hapo pamoja na kwa wananchi mbele yake ni Injinia Juliana Pallangyo.

PHOTO: Picha ya pamoja iliyoshirikisha viongozi mbalimbali kutoka Korea na Tanzania mbele katikati ni Naibu waziri injia Pallangyo.




Deep story will follow through our Video Story Page....
Editor.

Post a Comment

 
Top