DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Nchi za Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi awasili nchini kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili.
Akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JuliusNyerere jinini Dar Es Salaam amepokelewa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli ambaye alikuwepo akiongozana na viongozi wengine wa serikali.
Hizi hapa picha kadhaa juu ya mapokezi hayo mapema leo...
Post a Comment