ARUSHA.
KUTOKA KATIKA VIWANJA VYA MAONESHO YA KILIMO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI.
PHOTO: DC
Rashid Taha akipata maelezo kutoka kwa mjasiliamali
anayesimamiwa na SIDO Anna
mara baada ya DC kuwatembelea. |
PHOTO: Mkuu
wa wilaya ya Ngorongoro Rashid Taha (kulia) akisikiliza
Maelezo kutoka kwa mzalishaji wa mbegu za mahindi (wa pili kushoto) alipotembelea moja ya banda katika
maonesho hayo.
|
PHOTO: Moja
wa wakulima wa mazao ya Nyanya Oscar Elius (kulia) akimpa maelezo mwandishi wa
habari hii (kushoto) jinsi ya uzalishaji
bora wa nyanya.
|
PHOTO: Moja ya zao la nyanya la mfano lipatikanalo katika viwanjavya maonesho ya nanenane kanda ya kaskazini jijini Arusha.
|
Maonesho ya 24 ya Kilimo na
sherehe za nanenane kanda ya kaskazini yameanza huku kukiwepo na changamoto
kadhaa ikiwemo ya muitikio wa wananchi kujitokeza wachache pamoja na kuwepo na
mabadiriko makubwa ya kiuzalishaji ikiwemo teknolojia ya kitaalam kwa malighafi
zitokanazo na wanyama kama kwato na pembe za ng’ombe kutumika ipasavyo kutoa
aina mbali mbali za vifaa.
Katika maonesho hayo mkuu wa
wilaya Ngorongoro Rashid Taha ametembelea baadhi ya mabanda na kujionea uzalishaji na maendeleo
yanayofikiwa na wananchi katika kukuza kipato lakini katika kuelekea kwenye
uchumi wa kati wa viwanda nchini.
Hii hapa taarifa kwa undani
kupitia TNEWS Habari hapa chini….
Post a Comment