0
Bwana huyu aliondoka na mtoto wake kwenda sehemu isiyojulikana aliporudi alimwambia mke wake kuwa mtoto wao amepotea.
Mama hakuamini kilichotokea akawapigia simu polisi kuwaambia wamkamate Mme wake kwani yeye ndiye aliyeondoka na mtoto na hakurudi naye nyumbani.





Katika hali isiyo ya kawaida polisi walivyopekuwa gari waliupata mwili wa mtoto ukiwa nyuma ya buti la gari alilokuwa akiendesha mumewe.
Jamaa alimuua mtoto wake kwa kutaka pesa za kichawi.





Kupitia ujumbe wa habari hii unaweza kujua ni hatua gani dumia imefika na kumbuka kuwa dunia haijakwisha ila watu ndio wanakwisha kitokana na matukio ya ajabu kama hili na imani kwa watu inazidi kuisha usije ukamuamini mtu yeyote, nadhani hata aliye karibu na wewe!.

Post a Comment

 
Top