0
PHOTO: Anna Mgimwa -RC Kilimanjaro. 
Baada ya uteuzi uliofanywa na Mh. Rais wa kada wa ACT wazalendo alipomteua mwanachama wa ACT na mshauli wa chama hicho Prof. kitila Mkumbo kuwa katibu mkuu wa wizara ya Maji na Umwagiliaji,  jana Rais amefanya uteuzi mwingine ambao umepelekea baadhi ya wananchi na wadau wa ACT wazalendo kutoa maoni tofauti. Pia Rais amefanya uteuzi mwingine katika baadhi ya balozi na watendaji wengine. 

Kama umepitwa na taarifa hii nakuletea hii hapa chini kama umepitwa na bado ingali moto ambapo imetolewa na ikulu mapema hapo jana.


Post a Comment

 
Top