Mgomo uliokuwa umepangwa na
chama cha wamiliku wa mabasi TABOA ikishirikiana na wadau wengine wa usafirishaji
TAT Chama cha wenye maloli umesitisha kutokana na kikao na Waziri mwenye dhamana ya
usafiri na Uchukuzi Prof Makame Mbalawa kuingilia kati na kufanya nao mkutano uliweza kuangalia mapungufu na
taratibu zilizokuwa zinaonekana kuleta shida.
Katika mkutano na waandishi wa
habari jijini Dar Es Salaam Mkurugenzi mkuu wa SUMATRA
Gilliard Ngewe ameongea mambo kadhaa na TODAYS NEWS tumekuwekea
hapa chini katika habari
video….
Post a Comment