ZILIZOSHIKA KURASA:
# Bei
ya vyakula nchini yapaa.
# Vigogo
watano kanisa la AICC watimuliwa.
# Mchanga
unaopelekwa nje unaenda kuuzwa.
Hiyo ni machache yaliyopo katika udondozi
wa mapitio ya kurasa za mbele za magazeti ya kila siku kwa leo jumatatu kama yalivyowahi
kufika mbele ya camera na kuyachambua baadhi tu yaliyowahi kwetu.
Post a Comment