DAR ES SALAAM.
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan amefungua maonyesho *Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Ufaransa ambayo yanaendana na wiki ya Ufaransa jana jioni Makumbusho ya Taifa jijini Dar Es Salaam.
Katika ufunguzi huo uliohudhuliwa na viongozi mbalimbali wa kiserikali, wa Tanzania na Ufaransa wakiwepo mabalozi kadhaa na wafabiashara kutoka sekta binafsi akiwemo mkurugenzi mkuu wa ipp Regnard Mengi, makamu wa Rais amewapa nafasi raia wa ufaransa kuwekeza hapa nchini kutoka na kuwepo kwa malighafi muhimu zinazotakiwa kwenye viwanda.
Lakini pia kutoa nafasi kwa nchi kuelekea kwenye uchumi wa kati na habari kamili hii hapa katika HABARI VIDEO....
Post a Comment