DAR ES SALAAM.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema bila ya kuwapeleka wazazi mahakamani na kuhukumiwa kifungo, ndoa za utotoni haziwezi kukomeshwa, amesistiza kwamba iko haja ya kuchukua hatua zinazotakiwa wahusika wanaochangia ongezeko la ndoa za utotoni hapa nchini, akisema marekebisho ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ni lazima ifanyiwe marekebisho.

”Ni muhimu sheria hii irekebishwe ili
kuweza kuhakikisha mtoto wa kike anapata stahiki yake kubwa ambayo ni elimu,
pia sheria hii imeenda mbali kwani mwalimu mkuu yeyoye ambaye atakuwa hajatoa
taarifa atakuwa ametenda kosa la jinai na yeye amewekewa adhabu” Alisema Mwalimu.
Ametaka wahusika wampelekee taarifa za nchi nzima kuhusu walimu wakuu wangapi wamewasilisha taarifa zao kama sheria inavyowataka kuhusu watoto walio olewa kabla ya kumaliza shule.
Aliongeza “Ingekuwa sheria iko chini ya wizara yangu tayari ningekuwa nimeipeleka ikafanyiwe marekebisho bungeni”, lakini amesema kwamba ataendelea kuwasiliana na wizara ya katiba na sheria katika hatua za kuifanyia mabadiliko sheria hii ndogo.

Ameeleza
kuwa utafiti huo umefanywa ili kubaini changamoto zinazochangia kuwepo tatizo
hilo la ndoa za utotoni kwa watoto wa kike nchini Tanzania, linalonyima mtoto
wa kike kupata elimu na kuwa huru kuchagua mustakabli wa maisha yake.
Changamoto
ya mila na desturi ni moja ya sababu za kuwepo ndoa za utotoni na hali hii ya ndoa za utotoni imefanyiwa utafiti wa kina katika mikoa ya Dodoma,
Lindi, Shinyanga, Mara na Tabora, pia mikoa mingine miwili ilikuwa kati ya ile
ambayo tatizo hili la ndoa za utotoni ni dogo.
Post a Comment