DAR ES SALAAM.
Rais Dr.
John Pombe Magufuri amefanya uteuzi na kumteua Dk Kedi Mduma kuwa mwenyekiti wa
Bodi ya mamlaka ya masoko na mitaji na dhamana nchini.
Taarifa
iliyotolewa leo na Katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi imeeleza na kutoa
maelekezo kuwa uteuzi huo umeanza toka jana tarehe 23.2.2017, ambapo Dk Mduma
anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Drace Rubambey aliyemaliza muda wake.
Taarifa
kamili nakuwekea hapa chini:

Post a Comment