Habari, kama hada ni jumatatu tunakupa machoni pako uweze kujua nini kimejili kama hizi;
+Bei ya sembe, dona yapaa.+RC Makonda ahojiwa.
+Waziri ajiuzuru, ajiunga na waasi ...
+Wabunge wataka barabara nje ya hifadhi.
+MICHEZO: Wengar azidi kukaliwa kooni kuachia ngazi Arsenal.
Hayo ni baadhi ya magazeti kupitia kurasa za mbele, TODAYS NEWS imepata nafasi ya kukuletea haya yaliyopitia mbele ya kamera yetu siku ya leo, nasi tumekuletea moja baada ya lingine.







Post a Comment