Leo kama hada kuna vichwa vya habari
vinavyogusia madawa ya kulevya pamoja na RC Makonda yeye kama, lakini wakati
issue ya dawa za kulevya inapamba moto kuna askari wapo mbaroni kwa kwa
kumbambikia mtu dawa za kulevya, JPM Awapatanisha mahasimu Mbowe na Zitto.
Hayo ni baadhi ya magazeti kupitia kurasa za mbele, TODAYS NEWS imepata nafasi
ya kukuletea haya yaliyopitia mbele ya kamera yetu siku ya leo, nasi
tumekuletea moja baada ya lingine.







Post a Comment