0
Habari  baadhi zilizoshika kwenye front page:
>Mbowe akamatiwa njiani afikiswa polisi kituo kikuu.
>Siyanga amkosoa Makonda.
>Mchungaji Anglikana ashushiwa kichapo.
>James Mbatia; Heri kifo kuliko maisha ya taabu.
>Watunza makaburi wauza maeneo ya kuzikia.

Hayo ni baadhi ya magazeti kupitia kurasa za mbele, TODAYS NEWS imepata nafasi ya kukuletea haya yaliyonaswa na kamera yetu siku ya leo,  nasi tumekuletea moja baada ya lingine.











Post a Comment

 
Top