- FUNGUA MACHO NA UANGALIE.
Historia wakati mwingine
ina mambo ya kuvutia labda kwenye Picha, sehemu ya maisha ni
kuvutiwa na vitu vinavyovutia, ungana na TODAYS NEWS upate
kuona mambo ya kuvutia, hapa chini ni siri iliyopo katika ngome ya Bres
 |
| Hii ni mojawapo ya ubunifu ambao binadamu anaendelea kubuni kichwani na kuuleta katika uharisia wenye muonekano muswano. |
CHINI: Zoo moja ya wanyama huko nchini katika China inatoa nafasi
kwa watalii kusafiri kwa njia wao kuwa ndani ya gari yenye boksi la wavu wakati
huohuo wanyama wakiwa huru kufanya chochote kwenye gari hiyo..
Watu wengi wanasita kutembelea zoo hiyo kwa sababu ya wanyama
wanaofugwa kulazimishwa kuishi maisha ambayo si harisi kama ambavyo
wangekuwa wapo huru polini.
 |
| Wanyama jamii ya simba weupe wakijaribu kutaka kuwatoa watalii walioingia kwenye zoo kuangalia wanyama. |
CHINI: Mgodi wa RZ ulioko nyarugusu Mkoani Geita ambao uliwafukia
wachimbaji15 unasemekana kuwa na urefu wa zisizozidi 50 ambazo kwa
mtizamo wa kawaida unaweza sema ni urefu mkubwa sana, kwa urefu huo
pia ni nadra kupata nafsi kuona shughuli za zikifanyika kutokea
ndani ya mgodi huo.
 |
| Pembeni kushoto kwako ni mabomba ya kupeleka huduma kadhaa pamoja hewa chini ya mgodi huo wenye kina cha mita 400 kwenda chini. |
 |
| Mchimbaji wa madini katika mgodi wenye kina cha mita 400 kwenda chini ya aridhi. |
CHINI: Picha hii ya bastora ambayo iliwahi kutumika wakati wa vita ya pili ya
dunia mwaka 1939 mpaka 1945 ilipatikan nchini Urusi baada ya kuchimbuliwa
huko enthusiasts urusi, ambapo hivi sasa imekuwa bastora maarufu sana na
inasemekana imekuwa chini ya aridhi kwa takribani miaka 1078 toka vita ya
ilipokwisha mwaka 1945.
 |
| Bastora yenye umri mkubwa ikiwa na risasi zake pembeni juu, inasemekana ni miaka zaidi ya 1000 imekuwa aridhini. |
Post a Comment