Ikiwa elimu ni njia
mojawapo ya kumuondoa mtu katika ujinga wa kutokuwa na utambuzi wa aina fulani na kwa maana pana tunaweza kusema ni tendo au uzoefu wenye
athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika
dhana ya kiufundi.
SHULE ZA MWISHO KITAIFA NDIZO HIZI:..
No. SHULE IDADI MKOA
1.
S.2757 Kitonga 103 Dar Es Salaam
2.
S.2764 Nyeburu 128 Dar Es Salaam
3.
S.2866 Masaki 72 Pwani
4.
S.4634 Mbopo 71 Dar
Es Salaam
5.
S.2776 Mbondole 126 Dar Es Salaam
6.
S.1965 Somangila Day 59 Dar
Es Salaam
7.
S.2026 Dahani 51 Kilimanjaro
8.
S.2294 Ruponda 40 Lindi
9.
S.1061 Makiba 99 Arusha
10.
S.2879 Kidete 132 Dar Es Salaam
Kutokana na dhana hiyo hapo juu uelewa wa binadamu kutoka pale
anapopewa elimu inatoka na muundo wa itirijia aliyonayo kumuwezesha kuingiza kwenye
akili/ubongo unaokamata anachopewa (kuelemika) na kutoa kile alichopewa kwa
lengo la kufanikisha njia ya mafanikio ya elimu (Mtihani).
Hapa chini
tunaona mfumo wa elimu ulivyogawanyika na kutoa majawabu ya mafanikio kwa
kijana aliyepewa na kutoa alichopewa wakati wa mtihani. Pamoja na kwamba baadhi
ya shule unaona darasa zima linakuwa na watoto 40 na kufaulisha wote huku shule
nyingine ikiwa na wanafunzi 120 na kufaulisha asilimia fulani lakini matokea
kuwa kama haya hapa chini.
SHULE
KUMI BORA KITAIFA HIZI HAPA:
No. SHULE IDADI MKOA
1.
S.0189 Feza Boys 65 Dar Es Salaam
2.
S.0239 St. Francis Girls
90 Mbeya
3.
S.5426 Kaizirege Junior
47 Kagera
4.
S.0248 Marian Girls 136 Pwani
5.
S.4213 Marian Boys 137 Pwani
6.
S.4967 St. Aloysius Girls
45 Pwani
7.
S.5130 Shamsiye Boys
43 Dar Es Salaam
8.
S.0269 Anwarite Girls
74 Kilimanjaro
9.
S.0224 Kifungilo Girls
98 Tanga
10.S.1604 Thomas More Machrina 48 Dar Es Salaam

Post a Comment