0
Wasichana wa Chibok liachiliwa na kundi la Boko haram.


NIGERIA
Kundi la kigaidi linaloendelea kuwashikilia zaidi ya wasichana 95 linalojulikana kama Boko Haram ambalo limekuwa likifanya matukio ya kuteka na kuua watu katika maeneo kadhaa nchini Nigeria na mara kadhaa kasikazini mwa nchini ambapo ndipo kuna msigano wa kiitikadi na kidini limeendelea kuwashikilia wasichana hao wa mji Chibok.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari anamatumaini juu ya kuachiliwa kwa wanafunzi wa kike 95 ambao bado wanashikiliwa na Boko Haram. Amesema hayo wakati wa maadhimisho ya siku elfu moja tangu kukamatwa na kundi hilo la wapiganaji. Katika hotuba yake Rais Buhari amesema, Nigeria haitaacha kuwalilia watoto hao ambao bado wanashikiliwa.
Zaidi ya wasichana laki mbili kutoka mji wa Chibok, Aprili 2014, hali iliyosababisha, tukio hilo kufuatiliwa na vyombo vya habari vya kimataifa, kuna zaidi ya wasichana 20 wameokolewa na kupatikana toka wakati huo, akiwemo mwingine mmoja aliyepatikana wiki iliyopita.

Post a Comment

 
Top