0
Ndani ya kanisa la Anglikana kuna moshi unafuka ni kuhusu Askofu Mokiwa kutakiwa kuachia ngazi, SIASA; Zanzibari kina Lowassa wafanya yao kupitia kampeni, huku sisiemu nao wakipiga kwata, na issue ya Tanesco kuhusu kupanga safu bado wataendelea kupanga safu mpaka kieleweke, ...

Ni jumatatu na tunakukaribisha kwenye udondozi wa mapitio ya magazeti kuanzia na kurasa za mbele kupata kile ambacho kimepewa kipaumbele siku ya leo, hapa chini ni yaliyowahi kufika mbele ya camera yetu na tumekuletea baadhi tu kati ya mengi.










Post a Comment

 
Top