Wakati sumaye analalamika serikali ya Magufuri kuongeza uchungu kwa wananchi, Lowassa akumbushia waliomuombea kifo, wakati huo huo asema mabadiriko hayazuiliki ni wapi yamesemwa haya?
Ni mwisho wa wiki
unaanza siku kwa kupata habari nini kimejili kupitia udondozi wa mapitio ya
magazeti toka kurasa za mbele kusoma kile ambacho kimepewa kipaumbele siku ya
leo, hapa chini ni baadhi yaliyowahi kufika mbele ya camera yetu na tumekuletea
moja kwa moja.
Post a Comment