ZILIZOMO LEO;
>>Story nilikuletea jana kuhusu CUF magazeti yote leo
wametoka nayo.
>>Hatimaye madhabahuni panaonekana kulipa, Askofu
Mokiwa amwaga mboga!.
>>Ajali bahari ya Hindi waliopon watoa ya moyoni.
>>Wakati kuna watu
wanadai uchumi kuwa mgumu Benki ya dunia wasema uchumu unaridhisha
TODAYS NEWS inakuletea udondozi wa mapitio ya magazeti toka
kurasa za mbele kusoma kile ambacho kimepewa kipaumbele siku ya leo, hapa chini
ni baadhi yaliyowahi kufika mbele ya camera yetu na tumekuletea moja baada ya
lingine.
Post a Comment