HEADING STORY:
Watu arobaini wamepoteza maisha katika ajali ya boti ambayo
ilizama katika bahari ya hindi upande wa mkoa wa Tanga. Boti hiyo ambayo ilikuwa
ikitokea katika bandari ya Tanga ikielekea katika visiwa vya Pemba.
Boti hiyo ilikua imebeba watu 50 wakati ilipozama tarehe 10 January usiku
wa Jumatatu kuamkia Jumanne, miili kumi na mbili imepatikana na watu tisa
waliokolewa, jeshi la polisi lilitoa taarifa na kusema; boti hiyo ilikuwa
likielekea katika visiwa vya Pemba ikitokea katika bandari ya Tanga, na sababu
za ajali hiyo hazijajulikana.
Post a Comment