Baada ya
bosi wa Tanesco kumbuliwa moto wawaka katika shirika hilo, kuna jamaa alikuwa
anafukua kaburi, gafla amedakwa na Rais Magufuri speed ni ileile hana breki.
Ni
katika udondozi wa mapitio ya magazeti kutoka kurasa za mbele kupata kile
ambacho kimepewa uzito siku ya leo, hapa chini ni baadhi yaliyowahi kufika
mbele ya camera yetu na tumekuletea moja baada ya lingine.
Post a Comment