-Kukosekana kwa mvua pamoja na mabadiriko ya hali
ya hewa (tabia nchi) tishio la njaa vyakula havikamatiki, baadhi wala maembe machanga… -Askofu aliyeacha kukusanya kondoo wa Bwana
akaanza kujikusanyia alipasua kanisa… -Chama cha Mapinduzi chaonya Seif na Lowassa
waache kupotosha vinginevyo… -Rais magufuri aenda aliposoma kwa kushitukiza… -Jamaa apelekwa kortini kwa kumtusi JPM na Samia,
ni nani huyo…
Hayo ni baadhi yaliyopo kutoka kwenye kurasa za mbele
tunazokuletea hapa chini kutoka kwenye magazeti yaliyowahi kupita kwenye jicho
la camera yetu.
Post a Comment