Jumapili ya kwanza kwa mwaka mpya usiogawanyika, leo kuna vichwa vya habari kama; Kusitishwa kupandishwa kwa bei mpya ya umeme, Lowasa atinga magereza, Polepole awagusa mafisadi kukaa mgui sawa, lakini pia mashine za kukusanyoa mapato kumwagwa nchi nzima, na habari za michezo kupitia maazeti pendwa hapa hapa tembea nasi ....
Hayo ni baadhi ya magazeti kupitia kurasa za mbele, ni yale yaliyopewa kipaumbele siku ya leo, hapa chini nasi tumekuletea moja baada ya lingine.
Post a Comment