LEO ZILIZOSHIKA:
>>Kigogo mmoja wa chadema haukumiwa kifungo.
>>Waziri mkuu aibebesha 'zigo' wizara ya elimu.
>>Ile maiti iliyoleta kizaa huko mbeya sasa yazikwa kwa ulinzi mkali!.
>>Serikali yajipanga kudhibiti ugonjwa wa mafua ya ndege.
Habari inayokujia mapema ukiwa unaamka hama kuitafuta ni sehemu ya maisha nasi tunakuletea sehemu hiyo kupitia udondozi wa mapitio ya magazeti toka
kurasa za mbele kusoma kile ambacho kimepewa kipaumbele siku ya leo, hapa chini
ni baadhi yaliyowahi kufika mbele ya camera yetu na tumekuletea moja baada ya lingine.
Post a Comment