Kuna sinema zina madubwana yanaua watu na kunywa damu yanajulikana kama 'zombi' -Mhariri katoa neno shirika la kimataifa la makosa ya jinai Interpool lipewe kazi kuyatafuta madubwana hayo, nini labda kinasababisha?
Pia hali ya wafugaji 50 kuponea chupuchupu kupoteza maisha baada ya kupotelea katika mbuga ya serous kwa takribani siku 5 ipo hapa chini.
Tunaelekea mwisho wa juma (wikiendi) ya kwanza kwa mwaka huu 2017 karibu kwenye udondozi wa mapitio ya magazeti kuanzia na kurasa za mbele kupata kile ambacho kimepewa kipaumbele siku ya leo, hapa chini ni yaliyowahi kufika mbele ya camera yetu na tumekuletea baadhi tu kati ya mengi.

Post a Comment