0
Sehemu kubwa ya muenendo wa maisha kwa sasa unagusa mwananchi mmoja mmoja hali ikiwa inaonyesha hata wafanya biashara baadhi wakifunga biashara kutokana na sintofaham.

Pamoja na yote anatoa wito kwa watanzania kuaminiana, kuwa na subira, huku wakizidisha maombi, na kuomba mvua inye ili kuwepo na chakula.

-Hayo na mengine kadhaa yatakujia hapa hapa T NEWS.


Mwenyekiti wa Chama cha Chaumma -Hashim Rungwe Spunda akiongea na wanahabari.

Post a Comment

 
Top