0
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
nchini Jaji mstaafu Semistocles Kaijage.

DAR ES SALAAM.
Tume ya taifa ya uchaguzi nchini NEC imetangaza majina ya wagombea wa nafasi kadhaa zilizoachwa wazi katika majimbo ya uchaguzi ikiwa ni ubunge pamoja na udiwani uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwakani 22.01.2016.

Akizungumza na wanahabari jijini Dar Es Salaam mwenyekiti wa tume ya taifa ya ucahguzi Jaji mstaafu Semistocles Kaijage amesema katika uchaguzi huo wa marudio jumla ya wagombea 11 wamepitishwa kugombea ubunge jimbo la diwani Zanzibar na madiwani wa halmashauli 20 kwa Tanzania bara.

Mwenyekiti huyo wa tume ya Taifa ya uchaguzi nchini ambaye ameapishwa jana ikulu jijini Dar Es Salaam na Rais John Magufuri ameatangaza nafasi hizo siku moja tu baada ya kukabidhiwa ofisi toka kwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi aliyetangulia Jaji Damian Lubuva kumaliza kipindi chake. Tmekuwea kile alichoongea na wanahabari katika Video hapa chini.




Aitha jaji mstaafu SS. Kaijage ameongeza kuwa  hadi sasa jumla ya pingamizi zilizokatwa ni 6 ambapo tayaripingamizi 5 zimeshakatwa katka kata ya Ihuwa iliyopo manispaa ya Dodoma na kata moja ya isagehe halimashauli ya  mji wa kahama.



Post a Comment

 
Top