0
Hiki ni kidonge/Pipi cha ajabu.
NIGERIA.
Kisa hiki ni moja kati ya visa vingi vinavyoendelea kutokea sehemu nyingi duniani, lakini sisi kama wana habari tumeona kuna haja ya kukupasha hasa wewe msomaji wetu uliye karibu nasi kwa kutembela ukurasa wetu.

Hili ni tukio limetokea nchini Nigeria kwa dada ambaye amepewa vidonge na bosi wake kwa ajili ya kunywa vikiwa kama pipi, vikionekana ni vidonge au pipi flani lakini ndani yake ni kitu cha hatari ambacho kikiingia mwilini ni hatari.

Wakati unaenda kuangalia video ya tukio hili unapaswa kuwa makini kwa wakati huu maana huwezi jua pale ulipo na kile unachotaka kutumia kula ni kitu sahihi au lah?


Unaweza kushare kwa wenzako wapate kujifunza na kuwa makini popote walipo kutokana na video hii hapa....


Post a Comment

 
Top