Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ametujalia kuwa hai siku ya leo ambapo tunapata nafasi kama hii ya kuja na habari tofauti ikiwa ni siku ya mwisho kwa mwaka huu na tukielekea wikiendi ya mwisho pia, kwa kuanza siku yako kupitia udondozi wa mapitio ya magazeti kuanzia na kurasa za mbele kupata kile ambacho kimepewa kipaumbele siku ya leo, hapa chini ni baadhi tu ya mengi ambayo yapo mtaani na tumeyasogeza mbele ya camera na kukuletea kama hivi;
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment