Ijumaa ya tarehe 30.12.2016 siku moja imebaki kuelekea mwaka
mwingine usiogawanyika 2017, na tukiwa tunajongea kuelekea mwisho wa juma
(wikiendi) ya mwisho wa mwaka huu 2016 karibu kwenye udondozi wa mapitio ya
magazeti kuanzia na kurasa za mbele kupata kile ambacho kimepewa kipaumbele siku
ya leo, hapa chini ni yaliyowahi kufika mbele ya camera yetu na tumekuletea
baadhi tu kati ya mengi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment