0
Wahitimu wa chuo cha elimu ya juu cha mkoa mwanza SAUT wakiwa katika maandamano ya mahafari ya 18 kuelekea sehemu maalum ya sherehe za kutunukiwa vyeti mbalimbali vya kuhitimu shahada zao.

Wahitimu wa chuo cha elimu ya juu cha mkoa mwanza SAUT wakiwa katika maandamano wakiongozwa na bendi ya ngoma kuelekea uwanja wa sherehe mapema leo jijini Mwanza.
Wahitimu wa chuo cha elimu ya juu cha mkoa mwanza SAUT wakiwa katika maandamano wakiongozwa na bendi ya ngoma kuelekea uwanja wa sherehe mapema leo jijini Mwanza.
Wakuu wa chuo na walimu wakiwa wima huku wamevua kofia zao kuashiria heshima ka nchi yao Tanzania wakiimba wimbo wa taifa, kabla ya kuanza rasmi sherehe.
Baadhi ya wahitimu kushoto, masista, wafanyakazi wa chuo, ndugu na wageni waliohudhulia mahafari ya 18 ya chuo kikuu cha mtakatifu Augustino jiji mwanza wakifuatilia sherehe hiyo baada ya kuimba wimbo wa taifa.
Baadhi ya wahitimu kushoto, masista, wafanyakazi wa chuo, ndugu na wageni waliohudhulia mahafari ya 18 ya chuo kikuu cha mtakatifu Augustino jiji mwanza wakifuatilia sherehe hiyo baada ya kuimba wimbo wa taifa.
Makamu mkuu wa chuo kikuu cha mtakatifu Augostino cha Mwanza Fr, Dr Thadeus Mkamwa akisoma hotuba yake kwa mgeni rasmi ambapo aliangazia upande wa elimu akisisitiza taifa haliwezi kutosheka kwa wasomi waliopo vyuoni au waliomaliza.
Wasomi wahitimu wa shahada ya habari wakimsikiliza makamu wa chuo (hayupo pichani) wakati akisoma hotuba kwa mgeni rasmi.
Mgeni rasmi ambaye (kwa niaba ya mkuu wa chuo) Yuda Thadeus Ruwaichi akisoma hotuba kwa wahitimu iligusia nafsi yak an iusa katika kuwekeza upande wa elimu ya juu.
Kisha aliwatunuku wahitimu shahda na digrii zao.
Mtu yeyote huwa na furaha pale anapofanya jambo lenye kumpa zawadi, wahitimu wa digrii ya kwanza ya mahusiano ya jamii wakishangilia huku wakivaa kofia kuonyesha kuhitimu kwao kwa ungwe ya kwanza.

Mara kadhaa furaha humfanya mtu kufanya jambo ambalo baadaye hujishangaa, mhitimu huyu wa shahada ya habari mara baada ya kutunukiwa shahada yake alibaki kasimama akiongea na wenzake waliokuwa wamekaa.
Nia, kujitoa, kuwezeshwa ni moja ya hatua ambayo mhitimu huyu Agnes Wilfred aliweza kufanikisha ambapo ni yeye pekee alifikia hatua kwa kutunukiwa shahada kwa kuwaacha wenzake mwaka mmoja nyuma.
Mara baada ya mkuu wa chuo kuona anafaa, Agnes Wilfred alikabidhiwa shahada yake ya elimu ya msingi akiwa ni mhitimu pekee, katika kitivo chake, ukiangalia pembeni utaona jinsi gani wahitimu wengine ambao hawakubaki nyuma kufuatilaia na kumuangalia katika tukio la huyu mama.
Kazi ya kutunuku wahitimu zaidi ya 2652 ilikuwa kubwa na hatimaye ilimalizilaka, waliosimama wakiimba wimbo wa taifa kuhitimisha kutoka kushoto waliosimama ni Makamu mkuu wa chuo Fr, Thadeus Mkamwa, Askofu Yuda Ruwaichi, Tarcilius Ngalalekumu na wengine majina yao hayakuweza kupatikana
Picha ya pamoja kwa viongozi waandamizi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augostino cha jijini Mwaza mara baada ya shuguli nzima ili kuweka kumbukumbu kwa kizazi kijacho.
Kulia ni mkuu wa chuo cha SAUT Fr, Thadeus Mkamwa na kushoto ni Bernard James wa TEC mara baada ya mahojiano mafupi na TODAYS NEWS juu ya masuala mazima ya elimu.




HABARI KWA UFUPI.

MWANZA.
Chuo kikuu cha mtakatifu Augustino ni moja kati ya vyuo vikuu nchini vinavyosimamiwa na kanisa katoliki na kutoa elimu ya juu kwa wananchi wa kada tofauti na uwezo tofauti. Kwa mujibu wa Makamu mkuu wa chuo hicho Fr. Thadeus Mkamwa anasema, kilianzishwa kutokana na serikali kutoa nafasi watu binafsi kuwekeza katika sekta hii ya elimu ya juu.


>>> Habari zaidi tumekuwekea kupitia ukurasa unaofuata uliobeba kichwa: Watoto wa masikini wasipewe mikopo vyupo vikuu.

Post a Comment

 
Top