0

Ni jumatano mujarabu tunakuletea udondozi wa mapitio ya magazeti toka kurasa za mbele na uweze kusoma kile ambacho kimepewa kipaumbele siku ya leo, hapa chini ni baadhi yaliyowahi kufika mbele ya camera yetu na tumekuletea mapema.




Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya ziara ya kushtukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar -Es - Salaam na kupiga marufuku uuzwaji wa sare za majeshi nchini humo na watu binafsi.


Vichwa vingine vya habari kutoka kurasa za mbele wa magazeti ni kama zinavyosomeka kwenye habari hizi hapo chini:










UJIRANI MWEMA: Ni kumshirikisha mwenzako katika jambo jema, nasi tunakupa nafasi kumshirikisha mwenzako kuianza siku kupata habari kupitia ukurasa huu.

Post a Comment

 
Top