0
Rais John Pombe Magufuri akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili jijini Nairobi.



















Baadhi ya mawaziri na viongozi wa serikali ya Tanzania na wakiongozwa Rais John Pombe Magufuri upande wa kulia na Mawaziri na viongozi kadhaa kutoka serikali ya Kenya wakiongozwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta upande wa kushoto wakiwa katika mazungumzo ikulu jijini Nairobi.
Rais John Pombe Magufuri akiweka sahihi kitabu ikulu ya Nairobi akishuhudiwa na viongozi na mawaziri kadhaa jijini Nairobi.
Rais John Pombe Magufuri kushoto akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wa mazungumzo ikulu jijini Nairobi.
Rais John Pombe Magufuri akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ikulu jijini Nairobi wakiongea jambo linaloashilia furaha.
Rais John Pombe Magufuri na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakipokea heshima kutoka katika askari wa jeshi la kenya jijini Nairobi.
Rais John Pombe Magufuri akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili jijini Nairobi.

Post a Comment

 
Top