Profile Photo: Rais John
Pombe Magufuri
|
Rais John Pombe Magufuri kwa nafasi
aliyo nayo kama amiri jeshi mkuu kwa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania
amesitisha/kutengua nafasi ya mkurugenzi wa mtendaji wa Halmashauri ya wilaya
ya Mkinga kutoka mkoa wa Tanga.
Katika taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na mkurugenzi wa
mawasilino ya Rais, kutenguliwa kwa uteuzi wa Emmanuel Mkumbo kunaanza leo
tarehe 18.10.2016, pia uteuzi wa Mkurugenzi atakayejaza nafasi ya Emmanuel
Mkumbo utafanywa baadaye.
Post a Comment